Posts

Showing posts from 2018
Image
KISANDUKU CHEUSI" KATIKA NDEGE NI HIKI (Cheusi, Ama Chekundu) Ni kawaida kila inapotokea ajali ya ndege ya abiria, umma hutangaziwa kuwa kinatafutwa Kisanduku Cheusi; je, hicho ni nini? Hakika hicho si sanduku la kawaida, ila ni kifaa cha ndege kinachofanana na sanduku, lakini pia kutokana na udogo wake kuliko sanduku la kawaida ndio maana huitwa kisanduku. Ili kuweza kukifahamu vyema kifaa hicho, ngoja twende taratibu tuangalie jinsi kinavyofanyakazi kwenye ndege, vipimo vyake, kilibuniwa lini, gharama yake na huwekwa sehemu gani kwenye ndege. Pia, tutaangalia kwa uchache baadhi ya matukio ya ajali ambayo kifaa hicho kiliweza kusaidia kutanzua utata ambao uliibuka wakati wa uchunguzi wa ajali husika. Sababu za kufanya chunguzi hizo ni kujaribu kubaini chanzo cha kutokea ajali, na hivyo kuondoa dhana mbalimbali ambazo huibuka kuhusiana na tukio lenyewe. Lakini pia tafiti hizo husaidia waundaji wa ndege kuchukua hatua kurekebisha kasoro (kama zipo), hususan k...

Diamond ft Rayvanny Iyenna

NAMBA ZA POLISI TANZANIA

Image
Njia za Mawasiliano za Jeshi La Polisi Tanzania NAMBA ZA MAKAMANDA WA POLISI MKOA NAMBA ZA SIMU ARUSHA 0715 009 912 MWANZA 0715 009 949 KIGOMA 0715 009 915 RUKWA 0715 009 954 KAGERA 0715 009 916 ILALA 0715 009 980 KATAVI 0715 009 957 MOROGORO 0715 009 946 DODOMA 0715 009 914 MBEYA 0715 009 931 KILIMANJARO 0715 009 923 PWANI 0715 009 953 MTWARA 0715 00 99 48 SHINYANGA 0767 508 090 MANYARA 0715 009 929 NJOMBE 0658 376 495 MARA 0715 009 930 SIMIYU 0658 37 64 81 TANGA 0715 009 963 LINDI 0715 009 927 SINGIDA 0715 009 959 RUVUMA 0715 00 99 56 TARIME RORYA 0715 009 964 GEITA 0658 376 488 TEMEKE 0715 009 979 KINONDONI O715 009 976 TABORA 0715 009 961 IRINGA 0715 009 921 MAKAMANDA WA VIKOSI NA VYUO VYA POLISI JINA LA KIKOSI SIMU Kamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani 0754 360 046 kamanda Bohari Kuu la Polisi 0713 635 425 Mkuu wa Chuo cha Polisi Dar es salaam 0715 009 985 Kamanda kikosi cha Anga 0658 37 64 67 Kamanda kikosi cha Wanamaji 0658 481 002 Kamanda kikosi cha Ufundi 0713 629 824 ...

Namtumbo District

Image
Namtumbo District is one of the five districts of the Ruvuma Region of Tanzania . It is bordered to the north by the Morogoro Region , to the east by the Tunduru District , to the south by Mozambique and to the east by the Songea Urban District and Songea Rural District . As of 2002, the population of the Namtumbo District was 185,131. [1] Wards The Namtumbo District is administratively divided into 21 wards:[2] Kitanda Ligera Luchili Luegu Lusewa Magazini Msisima Mgombasi Mkongo Nakawale Msindo Namabengo Namtumbo Rwinga Mchomoro Hanga Mputa Likuyuseka Lisimonji Mkongo Gulioni Litola Limamu

Yanga funny picture 2018

Image

You rise me up by child performance

Image

ENGLISH:PRONOUN

I. Grammar 1.4: The Pronoun THE PRONOUN You have learned how to recognize and to use various kinds of nouns. You are now ready to learn about pronouns. PRONOUNS TO REMEMBER "personal pronoun" A pronoun that shows by its form the "person" of the noun it replaces. (We will explain the meaning of "person" later in this lesson.) Sentence: "I haven't seen him today. Have you seen him?" "I," "you," and "him" are personal pronouns. "possessive pronoun" A pronoun that indicates ownership or relationship. Sentence: "Adam and Eve were very happy in their garden home." "Their" is a possessive pronoun. "intensive pronoun" A "self" pronoun that intensifies another noun or pronoun. Sentence: "God, himself, spoke." "reflexive pronoun" A "self" pronoun that serves as a direct object or the object of a preposition. Sentence: "Cain fe...

SABABU INAYOPELEKEA KUFA KWA SHULE KONGWE ZA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA (JUMUIYA YA CCM)

Asalaam alaykum Ama kwa mara ya kwanza naandika haya humu kwa sababu tu yamenigusa na hii wenyewe waambiwe tu ili wajue. Katika sakata la uuzaji wa shule za Umoja wa Wazazi Tz serikalini, zinazoshindwa kujiendesha lilishindikana kwa sababu (kuu)ni kwa kuwa umoja huu ulianzishwa kwa ajiri ya elimu sasa kama wataziuza maana yake umoja wa wazazi utakufa.Pia kwa kuwa wanaweza kuzifufua basi wasishindwe mapema hivi. Sababu hizi na zingine nyingi zilipuuzia mbali makubaliano ya kikao cha kamati utekelezaji makao makuu ambao walikubali kuziuza shule zote zenye wanafunzi chini ya 100. Katika kuondoa wazo la uuzaji shule basi wakuu wote wa shule hizi waliitwa Dodoma ili kupewa semina na maelekezo na taarifa. Baadhi ya maelekezo ni kuhakikisha ndani ya miezi sita kuanzia mwezi huo basi lazima shule iwe na wanafunzi zaidi ya 100, sera ya ulipaji mishahara ya walimu itapitiwa upya, mkuu wa shuke marufuku kutoa mkataba kwa mwalimu au mtumishi yeyoye,ajira zote makao makuu na maagizo mengi yalitoka....

Cambridge Dictionary

Mauaji yanayoendelea ya CHADEMA

Image
> John Mnyika: Katika hali ya kawaida tungeweza kutoa tamko la kulaani mauji ya viongozi wetu na wafuasi wa CHADEMA lakini inachoonekana kulaani peke yake haitoshi. Serikali haitilii maanani mauji haya na kwanini yatokee kwa CHADEMA tu? katika hali hii ya sasa ya kufululiza kuuwawa kwa viongozi wetu wa CHADEMA, inaonekana sisi ndio walengwa. Sasa tunatoa wito kwa wanachama wetu na viongozi wa CHADEMA tuchukue tahadhari sana mana hawa watu wamedhamiria kutumaliza . ==>> John Mnyika :Msajili wa Vyama vya Siasa alitutaka tuandike barua kujibu yaliyotokea kwenye uchaguzi mdogo Kinondoni kwa kile kinachoitwa tumevunja sheria na sisi tumemjibu mengi. Msajili anasukumwa na Rais Magufuli - ==>>John Mnyika : Msajili wa vyama vya siasa anasukumwa , dhamira yao ni kutafuta mwanya wa kukifuta Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jambo hili hawaliwezi na kama wanafikiri wanauwezo wa kuifuta CHADEMA wajaribu kufanya hivyo. Wafahamu kwamba wakizuia mlango wa demokrasia, watu wa...