FAHAMU MATUMIZI SAHIHI KWA BIDHAA ZENYE HYDROQUINE. Kutokana na vipodozi vingi vya kung'arisha,kupendezesha,kuvutia,kuondoa chunusi,kuondoa mafuta na mambo mengine ya kiurembo kuwekwa kiambata sumu "HYDROQUINONE" tutaangalizia namna sahihi ya kutumia ili kupunguza madhara yake kwenye ngozi na afya kwa ujumla. Hydroquinone ni kiambata kinachowekwa katika bidhaa za ulembo ili kuweusha,kung'arisha na kuondoa chunusi na madoa katika ngozi hasa usoni. kujua vipodozi hivyo bofyahttps://www.blogger.com/blog/post/edit/5639560547725395238/1499525389980259265 SERIKALI kupitia mamlaka zake zinazuia matumizi ya bidhaa zenye Hydroquinone kutokana na madhara yake kwenye ngozi na afya kiujumla. Adora Ezeonu ni mwanamke wa Nigeria amesema " Unapopanga bajeti ya wiki au mwezi,lazima uhusishe hela ya kununua mafuta au sabuni hizi,ni bidhaa muhimu kama ilivyo kwa sabuni,nguo na mambo mengine kama umeme na maji. Aliendelea kusema" Nilizaliwa na ngozi nyeusi ambayo ilinifan...