Namtumbo District is one of the five districts of the Ruvuma Region of Tanzania . It is bordered to the north by the Morogoro Region , to the east by the Tunduru District , to the south by Mozambique and to the east by the Songea Urban District and Songea Rural District . As of 2002, the population of the Namtumbo District was 185,131. [1] Wards The Namtumbo District is administratively divided into 21 wards:[2] Kitanda Ligera Luchili Luegu Lusewa Magazini Msisima Mgombasi Mkongo Nakawale Msindo Namabengo Namtumbo Rwinga Mchomoro Hanga Mputa Likuyuseka Lisimonji Mkongo Gulioni Litola Limamu
searchfeed VIPODOZI VYENYE SUMU NA VISIVYO SALAMA KWA MATUMIZI/ VILIVYOZUILIWA ......................................... SEHEMU YA KWANZA 1.0 UTANGULIZI Vipodozi visivyo salama ni vipodozi ambavyo vina kemikali zinadhuru au zinazoweza kuudhuru mwili na kuusababishia matatizo. Maana hii inaweza kuongezewa na kujumuisha vipodozi vyote ambavyo usalama wake unatia mashaka na vinaweza kuleta madhara kwa mtumiaji. Hivyo hujumuisha : -Vipodozi ambavyo havijasajiliwa na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) -Vipodozi vyenye viambata (kemikali) vya sumu na vilivyopigwa marufuku na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) -Vipodozi ambavyo muda wake wa matumizi umeisha -Vipodozi ambavyo havioneshi tarehe ya kuharibika (mwisho wa matumizi) -Vipodozi ambavyo maelezo yake hayajaandikwa kwa Kiswahili au kiingereza Vinaweza vikawa ni mafuta, losheni, krimu, pafyumu, poda na kadhalika. 1.1 VIAMBATA (KEMIKALI) VYA SUMU VILIVYOPIGWA MARUFUKU Vingi vikiwa katika lugha ya kiingereza, hizi ndi...
Comments
Post a Comment