Posts

Showing posts from March, 2017

Nay Wamitego aitwa Ikulu

Image
Baada ya kuachiwa huru  na kuruhusiwa kusambazwa kwa nyimbo yake Wapo sasa ahitajika kukutana na rais Magufuli ikulu

Nay Wamitego aitwa Ikulu

Baada ya kuachiwa huru  na kuruhusiwa kusambazwa kwa nyimbo yake Wapo sasa ahitajika kukutana na rais Magufuli ikulu

DRUGS (DAWA HATARI)

Image
Drugs(vidonge vye kemikali) vya weza kubadilisha mwili na uwezo wa kufikilia Kila siku unatumia vitu vingi kama chakula katika mwili wa binadamu.Unameza chakula, maji na kuvuta hewa(kupumua). Hata hivyo baadhi ya vitu ukila vinaweza pelekea kubadili hali ya mwili katika utendaji kazi, vitu ambavyo vinapelekea kubadili hali ya mwili kufanya kazi au kuhisi vinaitwa dragi(Drug) Dragi ambayo watu wanatumia kutibu hali flani ya matatizo ya kiafya inaitwa Dawa (Medicine). Dawa zote ni dragi lakini baadhi ya dragi sio Dawa. Kuna aina nyingi sana za madawa baadhi zinadungwa mwilini kwa njia ya sindano,baadhi zinafyonzwa na ngozi(absorbed by skin),zingine zinatumiwa kwa kunywa, zingine kwa njia ya kumeza na baadhi kwa kunusa na kupaka Watu wengi wanasaidiwa na hizi dawa lakini baadhi wanaathiriwa kwa matumizi mabaya ya hizi dawa.Dragi ikitumika vizuri basi inaitwa dawa lakini ikitumika vibaya tunaita matumizi haramu ya dawa(dawa za kulevya) au drug abuse. Madawa ya kulevya ni dragi a...

Uteuzi Mpya

BREAKING NEWS: Rais Magufuli amfuta kazi Katibu mkuu Wizara ya Nishati na Madini http://www.muungwana.co.tz/2017/03/breaking-news-rais-magufuli-amfuta-kazi.html

Nay Wa Mitego - Bashite Wapo

Image
Drug abuser http://hummerson.blogspot.com/2017/03/drug-abuser.html

Drug abuser

Image
When a drug is used to cure body's problem is called medicine. But when a medicine taken for no reason it known as drug abuse.Anyone who takes drug with no reason he/she known as drug abuser. Medicines are helpful to cure a body's abnormal but not all medicine are legal some are prohibited as they affects and weakens both emotional and physical.Different names given to these drugs by users trying blindfold others who don't use.Drugs affects only not users but also the whole society or family.In family level drug user may risk family life if users are not medically treated well. To be contin ued Written by: Starlick Hummerson Follow us Facebook Star lick Hummerson Emai allystarlick@ gmai . com

Mchomoro environment

https://youtu.be/TPy4nda1GcY

IbraMo

https://youtu.be/DrvsApUYSDs

Bukungu

Image
Bukungu_Simba vs Yanga

Arsenal is still big

https://plus.google.com/112200798375473187003/posts/EvwYe4ZzWoY?_utm_source=1-2-2

Laughing at the moment

https://youtu.be/ubnCRvxTH0o