Posts

Showing posts from 2021

BERNARD MORRISON AIBWAGA YANGA

Image
searchfeed BENARD MORISON ASHINDA KESI YAKE DHIDI YA WASJIRI WAKE WA ZAMANI DAR Young Africans Sports Club . Mahakama ya usuruhisho wa michezo Africa (CAS) wametupilia mbali rufaa ya Yanga dhidi ya Maamuzi ya TFF kwenye maamuzi ya kuruhusu mchezaji huyo kuwa huru. Ikumbukwe Morison alivunja mkataba na Yanga kisha kutimkia Simba SC Tanzania anakocheza mpaka sasa. Yanga walimshitaki Morison kwa TFF na katika shauri hilo Morison alishinda na kujipatia jina masrufu la Wakili Msomi, kitu ambacho Yanga hawakulizia. Yanga ilienda mbali na kukata rufaa katika mahakama ya CAS na leo hukumu imetolewa ya kuwa, Wsnakubaliana na maamuzi ya TFF kwa kuangalia ushahidi uliowasilishwa na TFF kwa njia ya video kwenda CAS. Video hiyo iliambatanisha kikao cha majadiliano na hukumu iliyotolewa. searchfeed

VIPODOZI HATARI NA VILIVYOPIGWA MARUFUKU KWA MATUMIZI

searchfeed VIPODOZI VYENYE SUMU NA VISIVYO SALAMA KWA MATUMIZI/ VILIVYOZUILIWA ......................................... SEHEMU YA KWANZA 1.0 UTANGULIZI Vipodozi visivyo salama ni vipodozi ambavyo vina kemikali zinadhuru au zinazoweza kuudhuru mwili na kuusababishia matatizo. Maana hii inaweza kuongezewa na kujumuisha vipodozi vyote ambavyo usalama wake unatia mashaka na vinaweza kuleta madhara kwa mtumiaji. Hivyo hujumuisha : -Vipodozi ambavyo havijasajiliwa na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) -Vipodozi vyenye viambata (kemikali) vya sumu na vilivyopigwa marufuku na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) -Vipodozi ambavyo muda wake wa matumizi umeisha -Vipodozi ambavyo havioneshi tarehe ya kuharibika (mwisho wa matumizi) -Vipodozi ambavyo maelezo yake hayajaandikwa kwa Kiswahili au kiingereza Vinaweza vikawa ni mafuta, losheni, krimu, pafyumu, poda na kadhalika. 1.1 VIAMBATA (KEMIKALI) VYA SUMU VILIVYOPIGWA MARUFUKU Vingi vikiwa katika lugha ya kiingereza, hizi ndi...

SUMU YA MAJI, DALILI NA MADHARA YAKE

 Kila seli katika mwili inahitaji Maji ili kuweza kufanya kazi kwa ufasaha. Hata hivyo unywaji wa maji mengi au unywaji wa maji uliopitiliza unaweza kupelekea ugonjwa wa Sumu ya Maji kitaalamu unaitwa water poisoining au water intoxication au hata kuleta madhara mengine ambayo ni hatari sana kwa afya. Ni vigumu sana kunywa maji mengi kwa bahati mbaya au kutokufahamu,lakini hali hii inaweza ikamkuta mtu ambae amepoteza maji mengi sana mwilini hasa kwa kuvuja jasho jingi, mfano kufanya mazoezi makali au hata mafunzo ya kijeshi. Dalili za ugonjwa huu zipo wazi mfano kuchanganyikiwa,kutapika,kichefuchefu na kizunguzungu. Katika mazingira machache water intoxication inaweza kupelekea kuvimba au kutanuka kwa ubongo na kuhatarisha maisha kwa ujumla. Katika makala hii tutaangalizia dalili,sababu na madhara ya unywaji maji kupitiliza na kiasi gani mtu anapaswa anywe maji. SUMU YA MAJI WATER INTOXICATION Water intoxication au water poisoning ni kuharibika kwa utendaji kazi wa...

Nyimbo ya Ibromo akiwa na Tripple S Kama umekubali na Kidude

Download nyimbo ya ibramo kama umekubali na uisikilize. Ibramo ft Tripple S Kama umekubali   Pia sikiliza nyimbo nyingine singeri inaitwa  Kidude by Ibramo ft Tripple S

VIPODOZI VYENYE SUMU NA VISIVYO SALAMA KWA MATUMIZI/VILIVYOZUILIWA TANZANIA

 VIPODOZI VYENYE SUMU NA VISIVYO SALAMA KWA MATUMIZI/ VILIVYOZUILIWA ......................................... SEHEMU YA KWANZA 1.0 UTANGULIZI Vipodozi visivyo salama ni vipodozi ambavyo vina kemikali zinadhuru au zinazoweza kuudhuru mwili na kuusababishia matatizo. Maana hii inaweza kuongezewa na kujumuisha vipodozi vyote ambavyo usalama wake unatia mashaka na vinaweza kuleta madhara kwa mtumiaji. Hivyo hujumuisha : -Vipodozi ambavyo havijasajiliwa na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) -Vipodozi vyenye viambata (kemikali) vya sumu na vilivyopigwa marufuku na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) -Vipodozi ambavyo muda wake wa matumizi umeisha -Vipodozi ambavyo havioneshi tarehe ya kuharibika (mwisho wa matumizi) -Vipodozi ambavyo maelezo yake hayajaandikwa kwa Kiswahili au kiingereza Vinaweza vikawa ni mafuta, losheni, krimu, pafyumu, poda na kadhalika. 1.1 VIAMBATA (KEMIKALI) VYA SUMU VILIVYOPIGWA MARUFUKU Vingi vikiwa katika lugha ya kiingereza, hizi ndizo kemikali ...

DIRA YA MAENDELEA YA MPANGO WA TAIFA KWA PAMOJA KWA KUTUMIA RASLIMALI ZILIZOPO

Image
  Utangulizi Dira kwa maana fupi ni muelekeo. Dira ya Maendeleo ya Tanzania (Tanzania Development Vision (TDV) 2025 ilianzishwa mwaka 1994 na kuzinduliwa rasmi mwaka 1999 ambapo utekelezaji wake ulianza mwaka 2000 lengo kuu likiwa kuongoza harakati za maendeleo ya uchumi na jamii zitakazoiwezesha Tanzania kufikia uchumi wa kati na kuondokana na umaskini uliokithiri ifikapo mwaka 2025. ' www.tanzania.go.tz ' (tovuti kuu ya serikali) <script async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-6530555130326764"      crossorigin="anonymous"></script> Melengo makuu matano yalioainishwa katika Dira ya Maendeleo 2025 ni pamoja na kuboresha hali ya maisha ya kila Mtanzania, kuwepo kwa mazingira ya amani usalama na umoja,kujenga utawala bora,kujenga jamii iliyoelimika na kujenga uchumi imara unaokabiliana na ushindani. (Nukuu kutoka Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025). Katika andiko hili, nitaangazia malengo makuu matano k...