searchfeed VIPODOZI VYENYE SUMU NA VISIVYO SALAMA KWA MATUMIZI/ VILIVYOZUILIWA ......................................... SEHEMU YA KWANZA 1.0 UTANGULIZI Vipodozi visivyo salama ni vipodozi ambavyo vina kemikali zinadhuru au zinazoweza kuudhuru mwili na kuusababishia matatizo. Maana hii inaweza kuongezewa na kujumuisha vipodozi vyote ambavyo usalama wake unatia mashaka na vinaweza kuleta madhara kwa mtumiaji. Hivyo hujumuisha : -Vipodozi ambavyo havijasajiliwa na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) -Vipodozi vyenye viambata (kemikali) vya sumu na vilivyopigwa marufuku na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) -Vipodozi ambavyo muda wake wa matumizi umeisha -Vipodozi ambavyo havioneshi tarehe ya kuharibika (mwisho wa matumizi) -Vipodozi ambavyo maelezo yake hayajaandikwa kwa Kiswahili au kiingereza Vinaweza vikawa ni mafuta, losheni, krimu, pafyumu, poda na kadhalika. 1.1 VIAMBATA (KEMIKALI) VYA SUMU VILIVYOPIGWA MARUFUKU Vingi vikiwa katika lugha ya kiingereza, hizi ndi...
Comments
Post a Comment