BERNARD MORRISON AIBWAGA YANGA
BENARD MORISON ASHINDA KESI YAKE DHIDI YA WASJIRI WAKE WA ZAMANI DAR Young Africans Sports Club .
Mahakama ya usuruhisho wa michezo Africa (CAS) wametupilia mbali rufaa ya Yanga dhidi ya Maamuzi ya TFF kwenye maamuzi ya kuruhusu mchezaji huyo kuwa huru.
Ikumbukwe Morison alivunja mkataba na Yanga kisha kutimkia Simba SC Tanzania anakocheza mpaka sasa. Yanga walimshitaki Morison kwa TFF na katika shauri hilo Morison alishinda na kujipatia jina masrufu la Wakili Msomi, kitu ambacho Yanga hawakulizia.
Yanga ilienda mbali na kukata rufaa katika mahakama ya CAS na leo hukumu imetolewa ya kuwa, Wsnakubaliana na maamuzi ya TFF kwa kuangalia ushahidi uliowasilishwa na TFF kwa njia ya video kwenda CAS. Video hiyo iliambatanisha kikao cha majadiliano na hukumu iliyotolewa.

Comments
Post a Comment