Posts

SABABU YA MWAKINYO KUVULIWA MATAJI YOTE YA UBONDIA

Baada ya kuvuliwa ubingwa wa mabara wa WBF miezi kadhaa iliyopita, bondia namba moja nchini, Hassan Mwakinyo amevuliwa ubingwa wa Afika (ABU). Wikiendi iliyopita bondia huyo amevuliwa ubingwa wa African Boxing Union (ABU) alioutwaa Mei mwaka 2021 kwa kumchapa kwa Technical Knock Out (TKO), Maiala Antonio. Hiyo ni mara ya pili kwa Mwakinyo bondia namba moja nchini kuvuliwa ubingwa, baada ya miezi kadhaa iliyopita Shirikisho la Ngumi la Dunia (WBF) kutangaza kumvua ubingwa wa mabara aliokuwa akiushikilia tangu 2020 kablaa ya wiki iliyopita ABU kutangaza kumvua ubingwa wake. Septemba 3, 2021 Mwakinyo aliutetea ubingwa huo kwa kumchapa Julius Indongo kwa TKO, mapambano yote yakichezwa Dar es Salaam, ingawa hivi karibuni ABU imemuondoa kwenye orodha ya mabingwa wake. ABU ilimuondoa Mwakinyo kwenye orodha ya mabingwa na kumshusha hadi nafasi ya tatu ya ubora wa mabondia wake kwenye uzani wa super welter huku ikionyesha mkanda uliokuwa ukishikiliwa bondia huyo namba moja huko wazi, hauna ...

HAJI MANARA:HAKUNA ANAYETAKA KUMUUA MAKONDA LABDA AFE KWA STRESS ZAKE TU.

Image
Haji Manara ameendelea kumnanga rafiki yake wa zamani, Paul Makonda ambaye kwasasa yupo kwenye mgogoro mzito na boss wake wa sasa, Gharib Mohammed(GSM). Manara amedai watu wengi wamekimbia nchi kwasababu ya uonevu wa Paul Makonda. Manara amemtaka Makonda kuacha kutafuta huruma mitandaoni na sasa wanaongozwa kwa utaratibu badala ya ubabe. Pia Manara amehoji nani wa kumuua Makonda zaidi ya 'Stress' na kumtaka arudi Kolomije kwani sasa hana cheo. Mwisho Manara amemaliza kwa kusema Makonda alilazimisha kuingia chumbani kwake kwasababu choo cha public sio hadhi yake. Anyways huyu ndugu akiondoka sehemu au hamsini zenu zikiisha hana kifua, atayasema kwa mabaya yote mliyofanya kwa siri na dhahiri, hata GSM ajiandae siku wakienda sideways. Kwa Makonda pole sana, kuna muhenga alisema cheo ni kama koti la kuazima.

Triple S Sikulaumu

Triple S Sikulaumu Lyrics https://youtu.be/FRocGs0hu2M https://youtu.be/rdL2nAJbvAc Copy code snippet It

Tripple S new song 2022

Triple S Moyo Wangu

NAMNA YA KUTUMIA BIDHAA ZENYE HYDROQUINONE KWA USAHIHI

FAHAMU MATUMIZI SAHIHI KWA BIDHAA ZENYE HYDROQUINE. Kutokana na vipodozi vingi vya kung'arisha,kupendezesha,kuvutia,kuondoa chunusi,kuondoa mafuta na mambo mengine ya kiurembo kuwekwa kiambata sumu "HYDROQUINONE" tutaangalizia namna sahihi ya kutumia ili kupunguza madhara yake kwenye ngozi na afya kwa ujumla. Hydroquinone ni kiambata kinachowekwa katika bidhaa za ulembo ili kuweusha,kung'arisha na kuondoa chunusi na madoa katika ngozi hasa usoni. kujua vipodozi hivyo bofyahttps://www.blogger.com/blog/post/edit/5639560547725395238/1499525389980259265 SERIKALI kupitia mamlaka zake zinazuia matumizi ya bidhaa zenye Hydroquinone kutokana na madhara yake kwenye ngozi na afya kiujumla. Adora Ezeonu ni mwanamke wa Nigeria amesema " Unapopanga bajeti ya wiki au mwezi,lazima uhusishe hela ya kununua mafuta au sabuni hizi,ni bidhaa muhimu kama ilivyo kwa sabuni,nguo na mambo mengine kama umeme na maji. Aliendelea kusema" Nilizaliwa na ngozi nyeusi ambayo ilinifan...

BERNARD MORRISON AIBWAGA YANGA

Image
searchfeed BENARD MORISON ASHINDA KESI YAKE DHIDI YA WASJIRI WAKE WA ZAMANI DAR Young Africans Sports Club . Mahakama ya usuruhisho wa michezo Africa (CAS) wametupilia mbali rufaa ya Yanga dhidi ya Maamuzi ya TFF kwenye maamuzi ya kuruhusu mchezaji huyo kuwa huru. Ikumbukwe Morison alivunja mkataba na Yanga kisha kutimkia Simba SC Tanzania anakocheza mpaka sasa. Yanga walimshitaki Morison kwa TFF na katika shauri hilo Morison alishinda na kujipatia jina masrufu la Wakili Msomi, kitu ambacho Yanga hawakulizia. Yanga ilienda mbali na kukata rufaa katika mahakama ya CAS na leo hukumu imetolewa ya kuwa, Wsnakubaliana na maamuzi ya TFF kwa kuangalia ushahidi uliowasilishwa na TFF kwa njia ya video kwenda CAS. Video hiyo iliambatanisha kikao cha majadiliano na hukumu iliyotolewa. searchfeed

VIPODOZI HATARI NA VILIVYOPIGWA MARUFUKU KWA MATUMIZI

searchfeed VIPODOZI VYENYE SUMU NA VISIVYO SALAMA KWA MATUMIZI/ VILIVYOZUILIWA ......................................... SEHEMU YA KWANZA 1.0 UTANGULIZI Vipodozi visivyo salama ni vipodozi ambavyo vina kemikali zinadhuru au zinazoweza kuudhuru mwili na kuusababishia matatizo. Maana hii inaweza kuongezewa na kujumuisha vipodozi vyote ambavyo usalama wake unatia mashaka na vinaweza kuleta madhara kwa mtumiaji. Hivyo hujumuisha : -Vipodozi ambavyo havijasajiliwa na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) -Vipodozi vyenye viambata (kemikali) vya sumu na vilivyopigwa marufuku na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) -Vipodozi ambavyo muda wake wa matumizi umeisha -Vipodozi ambavyo havioneshi tarehe ya kuharibika (mwisho wa matumizi) -Vipodozi ambavyo maelezo yake hayajaandikwa kwa Kiswahili au kiingereza Vinaweza vikawa ni mafuta, losheni, krimu, pafyumu, poda na kadhalika. 1.1 VIAMBATA (KEMIKALI) VYA SUMU VILIVYOPIGWA MARUFUKU Vingi vikiwa katika lugha ya kiingereza, hizi ndi...

SUMU YA MAJI, DALILI NA MADHARA YAKE

 Kila seli katika mwili inahitaji Maji ili kuweza kufanya kazi kwa ufasaha. Hata hivyo unywaji wa maji mengi au unywaji wa maji uliopitiliza unaweza kupelekea ugonjwa wa Sumu ya Maji kitaalamu unaitwa water poisoining au water intoxication au hata kuleta madhara mengine ambayo ni hatari sana kwa afya. Ni vigumu sana kunywa maji mengi kwa bahati mbaya au kutokufahamu,lakini hali hii inaweza ikamkuta mtu ambae amepoteza maji mengi sana mwilini hasa kwa kuvuja jasho jingi, mfano kufanya mazoezi makali au hata mafunzo ya kijeshi. Dalili za ugonjwa huu zipo wazi mfano kuchanganyikiwa,kutapika,kichefuchefu na kizunguzungu. Katika mazingira machache water intoxication inaweza kupelekea kuvimba au kutanuka kwa ubongo na kuhatarisha maisha kwa ujumla. Katika makala hii tutaangalizia dalili,sababu na madhara ya unywaji maji kupitiliza na kiasi gani mtu anapaswa anywe maji. SUMU YA MAJI WATER INTOXICATION Water intoxication au water poisoning ni kuharibika kwa utendaji kazi wa...

Nyimbo ya Ibromo akiwa na Tripple S Kama umekubali na Kidude

Download nyimbo ya ibramo kama umekubali na uisikilize. Ibramo ft Tripple S Kama umekubali   Pia sikiliza nyimbo nyingine singeri inaitwa  Kidude by Ibramo ft Tripple S

VIPODOZI VYENYE SUMU NA VISIVYO SALAMA KWA MATUMIZI/VILIVYOZUILIWA TANZANIA

 VIPODOZI VYENYE SUMU NA VISIVYO SALAMA KWA MATUMIZI/ VILIVYOZUILIWA ......................................... SEHEMU YA KWANZA 1.0 UTANGULIZI Vipodozi visivyo salama ni vipodozi ambavyo vina kemikali zinadhuru au zinazoweza kuudhuru mwili na kuusababishia matatizo. Maana hii inaweza kuongezewa na kujumuisha vipodozi vyote ambavyo usalama wake unatia mashaka na vinaweza kuleta madhara kwa mtumiaji. Hivyo hujumuisha : -Vipodozi ambavyo havijasajiliwa na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) -Vipodozi vyenye viambata (kemikali) vya sumu na vilivyopigwa marufuku na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) -Vipodozi ambavyo muda wake wa matumizi umeisha -Vipodozi ambavyo havioneshi tarehe ya kuharibika (mwisho wa matumizi) -Vipodozi ambavyo maelezo yake hayajaandikwa kwa Kiswahili au kiingereza Vinaweza vikawa ni mafuta, losheni, krimu, pafyumu, poda na kadhalika. 1.1 VIAMBATA (KEMIKALI) VYA SUMU VILIVYOPIGWA MARUFUKU Vingi vikiwa katika lugha ya kiingereza, hizi ndizo kemikali ...

DIRA YA MAENDELEA YA MPANGO WA TAIFA KWA PAMOJA KWA KUTUMIA RASLIMALI ZILIZOPO

Image
  Utangulizi Dira kwa maana fupi ni muelekeo. Dira ya Maendeleo ya Tanzania (Tanzania Development Vision (TDV) 2025 ilianzishwa mwaka 1994 na kuzinduliwa rasmi mwaka 1999 ambapo utekelezaji wake ulianza mwaka 2000 lengo kuu likiwa kuongoza harakati za maendeleo ya uchumi na jamii zitakazoiwezesha Tanzania kufikia uchumi wa kati na kuondokana na umaskini uliokithiri ifikapo mwaka 2025. ' www.tanzania.go.tz ' (tovuti kuu ya serikali) <script async src="https://pagead2.googlesyndication.com/pagead/js/adsbygoogle.js?client=ca-pub-6530555130326764"      crossorigin="anonymous"></script> Melengo makuu matano yalioainishwa katika Dira ya Maendeleo 2025 ni pamoja na kuboresha hali ya maisha ya kila Mtanzania, kuwepo kwa mazingira ya amani usalama na umoja,kujenga utawala bora,kujenga jamii iliyoelimika na kujenga uchumi imara unaokabiliana na ushindani. (Nukuu kutoka Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025). Katika andiko hili, nitaangazia malengo makuu matano k...
Ibramo- Nimeshindwa
  Bofya hapa  kuona. MBUNGE APAGAWA NA KASI YA MAGU. Bonyeza hapo juu.